Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UGOMVI WA ZARI NA WEMA WACHUKUA SURA MPYAA ... IDRISSA SULTAN AHUSISHWA


Mshindi wa big Brother Afrika Idrisa Sultan ameingilia ugomvi wa team Wema na Zari.Chanzo cha kurushiana maneno machafu yanguoni ni Diamond Platnum kupita nao wote,Amewaonya team hizo zitasababisha mimba ya Zari kutoka.Team Zari wameingilia kati na kutoa ujumbe aliokuwa akichat na mtukanaji maarufu instagram Dougiemasta.Wamemwambia aachane na mambo yasiyo muhusu afanye yake washamchoka.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top