Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HAYA NDO MAGARI ANAYOYAMILIKI MSANII JACQUELINE WOLPER KWA SASA!!! ANATISHAJEEEE...!!!

 


The Bongo Star diva owing the luxury cars below
 Jackline akiwa na gari lake aina ya BMW X6 lenye thamani ya Sh. Milioni 170
 Pamoja na BMW X6 msanii huyo anasukuma pia kitu cha Harrier Lexus & apparently ndo linalotumika kupleka wadogo zake shule. Thamani yake ni Sh. milioni 25
 Hili ni Toyota Noah lenye thamani ya Sh. milioni 18 ni kwa ajili ya kikazi zaidi
Na ushaidi huu hapa.
"When ur big ur big!" Big up mwanadada Jacqueline.

Picha kwa hisani ya Global Publishers
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top