Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HUSSEIN BASHE AKANUSHA UZUSHI UNAONDELEA KWENYE MITANDAO JAMII..MSIKIE ANACHOKANUSHA

Baada  ya  habari  hiyo  hapo  juu   kusambaa  sana  kwenye  mitandao   ya  kijamiii   Hussein  Bashe  amekanusha  habari  na  kusema  ni  uzushi  kwasababu  mpaka  muda huu  hajazindua  kampeni  kwenye  jimbo  lake  la  NZEGA  mjini ,Ikumbukwe  BW  Bashe   alikuwa  ni  mfuasi  mkubwa  sana  wa  Mhe  Lowassa  na  uwezi  kutaja  harakati  za kisiasa  za  mhe   Lowassa    bila  kutaja  jina  Bashe!!!!!
  Bw  Bashe  alikuwa  ni  mtetezi  mkubwa  sana  Lowassa  akiwa  ccm  kwasababu alikuwa  na uwezo  kuwakosoa  na  wakina  Nape  bila  kuogopa   kwahiyo  watu  wengi  walitegemea  kuwa  angehama  na  Lowassa  kuja  UKAWA  lakini  haikuwa  hivyo  lakini  yeye  mwenyewe  amesema  ana  maamuzi  yake  binafsi  ndio  maana  ameendelea  kubaki  CCM.

KAULI  YA  HUSSEIN  BASHE  KUPITIA  UKURASA  WAKE  WA  FACEBOOK


Mimi Hussein Mohamed Bashe napenda kukanusha taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba si za kweli na ni zakutunga.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top