Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HIVI NDIVYO LOWASSA ALIVYOTIKISA KISIWANI PEMBA NA UNGUJA, ZANZIBAR



Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akiwapungia mkono wananchi, wakati akiwa njiani kuelekea kwenye Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Kisiwani Pemba leo Oktoba 3, 2015..


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akifurahi jambo na Mgombea Mwenza wake, Mh. Juma Duni Haji pamoja na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, walipokutana katika katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Kisiwani Pemba leo Oktoba 3, 2015. .(P.T)

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akiwa ameusimamisha msafara wake kupisha watu wa huduma ya kwanza walikuwa wamembeba mama mmoja (jina lake halikupatikana kwa haraka) aliekuwa amepoteza fahamu kutokana na kukosa hewa katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Kisiwani Pemba October 3, 2015.






WAFUASI wa vyama vinne vinavyounda UKAWA, wakimsikiliza na kumshangilia mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CHADEMA Mhe: Edward Ngoyaye Lowassa, hayupo pichani, alipowasili kisiwani Pemba, kuzungumza na wanaukawa na kisha kuwanadi wagombea ubunge na uwakilishi wa majimbo 18 kisiwani Pemba, mkutano uliofanyika uwanja wa Tibirinzi Chake chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba ).

WAFUASI wa vyama vinne vinavyounda UKAWA, wakimsikiliza na kumshangilia mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CHADEMA Mhe: Edward Ngoyaye Lowassa, hayupo pichani, alipowasili kisiwani Pemba, kuzungumza na wanaukawa na kisha kuwanadi wagombea ubunge na uwakilishi wa majimbo 18 kisiwani Pemba, mkutano uliofanyika uwanja wa Tibirinzi Chake chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba ).

WAANGALIZI mbali mbali wakifuatilia mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA chini ya UKAWA, Mhe: Edward Lowassa uliofanyika uwanja wa Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WATENDAJI wa msalaba mwekundu ‘Red cross’ wakiwatoa nje ya uwanja wa Tibirinzi Chake chake Pemba, baadhi ya wanachama wa vyama wanaounda UKAWA, baada ya kuanguka kwa joto, ambapo zaidi ya wanachama 20 walianguka uwanjani hapo, wakati wakimsikiliza mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Edward Lowass kwa tiketi ya CHADEMA chini ya UKAWA (Picha na Haji Nassor, Pemba).
BAADHI ya viongozi wa CHADEMA na NCCRA-MGEUZI wakifuatilia mkutano uliokuwa ukihutubiwa na mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, chini ya UKAWA, Mhe: Edawrd Ngoyaye Lowassa, kwenye mkutano uliofanyika uwanja wa Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
NAIBU Katibu Mkuu wa NCCR-MAGEUZI Mussa Kombo, akiwasalimia wanachama wa vyama vinavyounda UKAWA, waliohudhuria mkutano wa hadhara, uliohutubiwa na Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, kupitia UKAWA Mhe: Edward Lowassa na kufanyika uwanja wa mpira Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF chini ya UKAWA, maalim Seif Sharif Hamad, akiwasalimia wanachama wa vyama vinavyounda UKAWA, waliohudhuria mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe: Edward Lowassa na kufanyika uwanja wa mpira Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MGOMBEA Mwenza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mhe: Juma Duni Haji, akizungumza na wanachama wa vyama vinavyounda UKAWA, waliohudhuria mkutano wa hadhara wa kampeni na kufanyika uwanja wa mpira Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mhe: Edward Lowassa, akizungumza na wanachama wa vyama vinavyounda UKAWA, waliohudhuria mkutano wa hadhara wa kampeni na kufanyika uwanja wa mpira Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAGOMBEA ubunge na uwakilishi wa majimbo 18 ya Pemba, wakinadiwa na Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CHADEMA chini ya UKAWA, kwenye mkutano uliofanyika uwanja wa Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
WAGOMBEA urais Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na mgombea mwenza Juma Duni Haji (kulia), wakijadili jambo kabla ya kuondoka kwenye uwanja wa Tibirinzi Chake chake, ambapo kulifanyika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Mgombea urais wa Muungano wa tiketi ya CHADEM Mhe: Edward Lowassa, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akiwapungia mkono wananchi, wakati akiwa njiani kuelekea kwenye Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015.
 Umati wa Wananchi wa Kisiwa cha Pemba ukiwa umejipanga barabarani kumlaki Mgombea wao wa Urais.
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akiwa ameusimamisha msafara wake kupisha watu wa huduma ya kwanza walikuwa wamembeba mama mmoja (jina lake halikupatikana kwa haraka) aliekuwa amepoteza fahamu kutokana na kukosa hewa katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015.
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akifurahi jambo na Mgombea Mwenza wake, Mh. Juma Duni Haji pamoja na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, walipokutana katika katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015.
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akiwasalimia viongozi mbalimbali wa vyama vinavyounda UKAWA, Kisiwani Pemba. Kushoto ni Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akiwasalimia wananchi wa Kisiwa cha Pemba, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015.
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akisikiliza jambo kutoka kwa Mgombea Mwenza wake, Mh. Juma Duni Haji pamoja na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.


*******
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mumungano wa Tanzania kupitia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Mh. Edward Ngoyayi Lowassa amewataka wananchi kisiwani Pemba kumkataa na kutomchagua mgombea yeyote anayechezea amani ya nchi kwani nchi hii si miliki ya mtu bali ni mali ya watanzania wote, na kusisitiza kuwa endapo atachaguliwa atahakikisha anapambana na umasikini kwa nyanja zote.
Mh.Lowassa aliyewasili kisiwani Pemba na kusindikizwa na vijana kwa pikipiki za Vespa na magari hadi hapa kiwanja cha Kibirinzi ambapo mkutano wa kampeni ulifanyika, aliwataka wananchi wa Pemba kumkataa mgombea anayetishia amani na utulivu, kwani ndiyo itakayoweza kusaidia kufikisha malengo ya kuleta mageuzi ya kweli katika nyanja zote za maendeleo, na kuahidi kuwa ataimarisha hospitali kila wilaya kwa kuweka vifaa vya kisasa.

Mh. Lowassa amesisitiza kuwa endapo atakuwa rais wa Tanzania, atahakikisha anabadilisha mitaala ya elimu kuwa ya kisasa ili kuliletea maendeleo ya haraka taifa la Tanzania.

Awali, mgombea mwenza Mh. Juma Duni Haji aliwataka Wazanzibari kushirikiana ili kufanya mabadiliko kwa amani na utulivu. Naye mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha wananchi, CUF Malim Seif Sharif Hamad ameendelea kusisitiza kuwa chama chake hakina mpango wa kufanya vurugu kama inavyodaiwa.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top