Dereva wa Katapila akibomoa moja ya nyumba za Kurasini |
Fatuma Mussa mkazi wa Kurasini akizungumza na waandishi wa habari (pichani hawapo) kwa hisia kali akilalamikia ubomoaji wa makazi yao |
Mwenyekiti wa Serikaili za Mtaa Shimo la Udonge Jijini Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari |
Mkazi wa Kurasini Jijini Dar es Salaam Bi Nyakomba Selemani akiwa mbele ya gofu la nyumba yake akionyesha Stop Oda lakini imebomolewa |
Wahanga wakijaribu kupakia vitu katika gari tayari kwakwenda kutafuta hifadhi |
Mkazi wa Kurasini akiwa amedhibitiwa na Mgambo akidaiwa kuwarushia mawe akiwa na wenzake na kudaiwa kukutwa na kisu |
Wahanga na vyombo vyao |
Anayedaiwa kuwa ni Askari kanzu (wapili kulia) akipandishwa Gari akihusishwa kuwatupia mawe Mgambo ambapo alisikika akisema mimi nilikuwa nikiwapa muongozo. |
Mkazi wa Kurasini akijaribu kuokoa mbao za gofu hilo baada ya kubomolea |
Mkazi wa Kurasini akiwa amedhibitiwa na Mgambo akidaiwa kuwarushia mawe akiwa na wenzake na kudaiwa kukutwa na kisu akiwa amejiinamia baada ya kunaswa kidao usoni akiwa amevishwa pingu |
Post a Comment