Staa wa sinema Bongo, Jacqueline Wolper .
MREMBO anayesukuma maisha
yake kupitia sinema Bongo, Jacqueline Wolper amejitapa kuwa haoni tatizo
kuchukua mume wa mtu kwani wanaoibiwa ni wadhaifu.
Akifafanua kauli yake,
Wolper alisema, kumekuwa na malalamiko mengi ya mastaa wa kike kuhusu
kuibiana mabwana kitu ambacho yeye anaamini kwamba kama ukiwa mbunifu
huwezi kuibiwa, wanaoibiwa wasilalamike.
“Bibi eeeh acha waseme.
Mimi nikikuibia bwana ujue nimekuzidi ujanja inabidi uwe tu mpole siyo
kuanza kuchongachonga tu kwa watu,” alisema Wolper.
Post a Comment