Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAKWEPA KODI MAARUFU WADAKWA WAKITOROKA NCHINI .... YUMO BOSI WA HOME SHOPPING CENTER


#‎BREAKINGNEWSSSS‬

Makontena 54 yalikwenda kwa Bakhresa bila kulipia kodi na tayari tangu jana Azam ICD General Manger kalaliwa yupo lupango

Hasara toka kwa Azam ICD kwenda kwa serikali ni kiasi cha shilingi bilioni 12. Mtoto wa Bakhresa alitaka kwenda kulipia lakini kaambiwa abakie na pesa zake na ‪#‎TRA‬ wanapiga mahesabu ya adhabu ya kukaa na pesa ya serikali.



#‎HABARINYINGINE‬


Bosi wa "home shopping centre"

Kadakwa wakati akitaka kutoroka katika mpaka wa namanga alikuwa analala mbele ametulizwa kaambiwa tunahitaji passport yako.

‪#‎SASANIKAZITU‬
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top