Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

FFU WATOA KICHAPO KIKALI KWA WANAFUNZI DAR


 Mwanafunzi wa chuo cha St. Joseph kampasi ya Dar es Salaam akiwa miguuni wa Askari leo mara baada ya kuishiwa nguvu wakati wakitawanywa na Askari hao jijini Dar es Salaam leo walipokuwa wakiandamanda kuelekea wizara wizara ya elimu, Sayansi na mafunzo ya Ufundi.

Wanafunzi wa Chuo cha St. Joseph tawi la jijini Dar es Salaam wakitawanywa na askali wa kutuliza Ghasia (FFU) leo wakati wanafunzi hao wakiandamana wanaelekea wizara ya elimu, Sayansi na mafunzo ya Ufundi kudai kushinikiza chuo hicho (Kampasi)tawi la Arusha kifunguliwe.
baada ya tawi hilo kufungiwa na TCU wiki iliyopita.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top