Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HALIMA MDEE, SAED KUBENEA WASHIKILIWA NA POLISI

mdeee1
Mbunge wa Kawe Halima Mdee.
said1
Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea.
Wabunge wa Chadema, Halima Mdee na Said Kubenea wanashikiliwa na  jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wakidaiwa kumfanyia vurugu Katibu Tawala wa Dar, Theresia Mmbando juzi baada kutangaza kuahirisha uchaguzi wa meya na naibu meya katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar . Source GPL
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top