Mvua zinazo zidi kunyesha mkoani Dodoma zimesababisha mafuriko kuvuka juu ya barabara ya Dar kuelekea Dodoma naeneo ya Kibahigwa na kusababisha magari kushindwa kupita, mpaka sasa kunafoleni kubwa sana ya magari na mpaka sasa hakuna dalili ya maji kupungua
on Monday, March 28, 2016
Post a Comment