Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WATU WANNE WAFARIKI DUNIA KWA KUFUKIWA NA KIFUSI KAWE

Imethibitika kuwa watu wanne (4)  wamefariki dunia asubuhi ya leo baada ya kufukiwa na kifusi katika eneo la Kawe Ukwamani Kawe jijini Dar es Salaam.Waliofariki ni mfanyakazi wa ndani, watoto wawili na baba mwenye nyumba. Yasemekana kuwa Udongo uliporomoka na kuwafukia. Katika tukio hilo watu wengine watano (5) wamejeruhiwa.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top