Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JINSI YA KU -TRACK SIMU YAKO NA KUJUA MAHALI ILIPO

Upotevu wa simu yako ni moja ya jambo baya watu wanalipata.Unaweza kuibiwa simu yako iliyokuwa imehifadhi data nyingi binafsi.
Kwa msaada jinsi ya kupata simu yako iliyopotea, Google na Apple kwa pamoja wana njia za kufuatilia hili kutafuta mfumo wa simu yako.

Jinsi ya kutafuta iPhone iliyopotea
Ufumbuzi wake upo kwenye Find My iPhone.Huduma hii ina uwezo wa kukuonyesha kifaa chako chochote cha iOS

Kupata uwezo juu ya iPhone yako,fuata hatua hizi;
1.Nenda kwenye setting/mpangilio wa iPhone yako
2.Shuka chini utakuta iCloud
3.Katika chini ya orodha bonyeza "Find My iPhone"
4.Kwenye Find My Phone switch on position
5.Ukiwa hapo ni wazo zuri ku-turn on send last  location
Baada ya kuwezesha Find My iPhone,unaweza kuifuatilia vizuri simu yako iliyopotea na kuibiwa

Jinsi ya kupata Android phone
Kwa android ni tofauti kidogo na Apple.Google wameweka app yao kwenye Play store  na unaweza ku-download

1.Search Play Store "Android Device Manager"
2.Install the app, na sign in kwenye account yako ya Google
3.Kuwa makini kuondoka kwenye checkbox. Ukiondoka usiache box checked,mtu yeyote anaweza kupata kifaa chako na kuzuia uwezo wa ku-track simu yako.
Kama umepoteza simu yako unaweza kufuatilia simu yako kwa kutumia simu nyingine au tembelea Google Android website.

Kama unatumia simu tofauti na hizo hapo juu, unaweza kupata simu yako iliyopotea kwa kufuata maelekezo yafuatayo.
Kama unatumia windows phone tafuta maelekezo hapa.
Kama unatumia BlackBerry 10, tack simu yako ya kutumia BlackBerry Project.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top