Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AJALI MBAYA YATOKEA JIRANI NA UDOM

 Saa saba mchana jana hapo chuo kikuu dodoma kwenye mlima maarufu uliopo karibu na jengo la CHIMWAGA uitwao mlima chimwaga kumetokea ajali mbaya ya gari la abiria baada ya kushindwa kupanda mlima,chanzo kamili cha ajali bado hakijapatikana.kwa taarifa zilizopatikana ni kwamba watu takribani kumi na sita hali zao si nzuri na wamekimbizwa kwenye hospital ya mkoa wa Dodoma GENERAL,taarifa kamili juu ya habari hiyo endelea kuwa nasi.


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top