Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS ... MHARIRI GAZETI LA DIRA LILILOANDIKA HABARI YA KUIBWA KIFARU AKAMATWAMhariri wa Gazeti la Dira ya Mtanzania ambalo limeandika habari ya kifaru cha jeshi kuibwa Musa Mkama amekamatwa na jeshi la Polisi

Nimeongea nae muda huu amenithibitishia kukamatwa kwake na kwamba yupo Centre Polisi jijini Dar anashikiliwa kwa mahojiano

Pia amenithibitishia kuwa habari waliyoiandika imetokea mahakamani ilipokuwa ikisikilizwa kama kesi.

Chanzo: Fb page Abdallah Khamis
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top