Taarifa iliyoifikia nuda huu inaeleza kuwa, Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilindi Mkoani Tanga, Beatrece Shelukindo, amefariki Dunia leo huko jijini Arusha kufuatia kuugua kwa muda. Taarifa kamili itawajia kadri itakabyokuwa ikitufikia.
MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI
- AMIN.
Post a Comment