Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS... SERIKALI YALIFUNGIA GAZETI LA MSETO KWA MIEZI 36


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amelifungia gazeti la Mseto kwa miezi 36 kutokana na kuandika stori yenye nyaraka za kughushi.

 Nape amelifungia gazeti hilo leo baada ya kuandika habari ya uongo kuhusu Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Edwin Ngonyani na kwamba nyaraka zilizotumiwa si za kweli.
Waziri Nape muda huu kafungia Mseto kwa miezi 36!!!!! Gazeti la Mseto lilichukua nafasi ya mwanahalisi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top