Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NJIA RAHISI YA KUPAKUA PICHA AU VIDEO INSTAGRAM HII HAPA ....

Jifunze njia rahisi zaidi ya kupakuwa “download” Videos na picha kwenye page yako ya Instagram bila kutumia kifurushi chako kikubwa cha internet (MB) na baadae kuangalia picha hizo na video hata kama hutokuwa na huduma ya internet (Kifurushi) kwenye simu yako. ni rahisi sana, fata hatua hizi hapa.

Kuna APP nyingi upande wa Android unazoweza tumia kupakuwa Picha and Videos from Instagram, ila inasemekana “InstaGetter” ni App bora zaidi kwa shughili ya upakuzi wa video na picha na utaweza fanya ukiwa na bando dogo zaidi kwa haraka tofauti na App nyingine nyingi.

Hatua za kufata:-

1. Ingia Google Play na upakuwe App inayo itwa “InstaGetter for Instagram”


2. Baada ya kupakua na kuiweka sawa kwenye simu yako. Fungua picha au video unayotaka kuipakua “Download”

3. Utaona upande wako wa kulia chini uchaguzi umeandikwa “Copy Share URL”

4. Sasa fungua App yako ya “InstaGetter” na u pest ile link URL ya Video au picha unayo taka kuipakuwa  hapa kwenye “Save Image”

5. Itakuuliza uchague wapi unataka kuifadhi unacho kipakua, chagua.

6. Ukimaliza hapo waweza tazama picha yako au video yako itakuwa imeshapakuliwa na utaweza itazama hata kama huna internet kwenye simu yako.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top