Uhuru waichongea bodi yao kwa Rais Magufuli
Wafanyakazi wa kampuni ya Uhuru Publications wameichongea bodi ya wakurugenzi wa kampuni hiyo kwa Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli kuhusu uuzwaji kinyemela wa mtambo wao wa kuchapisha magazeti.
Hayo yamebainishwa leo na wafanyakazi hao baada ya Rais Magufuli kuwatembelea na kusikiliza matatizo yao na changamoto wanazokumbana nazo.
on Monday, September 19, 2016
Post a Comment