Freeman Mbowe akana kudaiwa kiasi chochote na NHC asema katika jengo hilo yeye si mpangaji bali ni mmiliki mwenza wa NHC.
- Amesema anamiliki jengo hilo kwa asilimia 75 tangu mwaka 1997 na kinachofanywa na shirika hilo la umma kinasimamiwa na Viongozi wa Dola kwa kuwa yeye ni Mpinzani.
Post a Comment