Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Serikali yasema dawa zipo

Dar es Salaam. Serikali kupitia Wizara ya Afya imewaondoa wasiwasi watanzania kuhusu uhaba  wa dawa nchini na kueleza kuwa dawa zinapatikana kwa asilimia 53.

Akizungumza na waandishi wa habari Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dk Mpoki Ulisubisya amesema hali ya upatikanaji wa dawa itaimarika zaidi mwanzoni mwa Oktoba.

Amesema kati ya dawa muhimu 135 zinazohitajika,ghalani zipo aina 71 na nyingine zipo kwenye vituo vya kutolea huduma.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top