Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS .... Diwani wa Chadema ajiunga na CCM .... Wananchi wapigwa na butwaaWakati viongozi wa chadema wakijinasibu kwa slogan yao mpya ya KATA FUNUA, hali inazidi kuwa tete pande hizo, baada ya aliyekuwa diwani wa kata ya shule ya tanga inayopatikana ktk jimbo la Songea Mjini, mkoani Ruvuma, kujiengua ktk chama hicho, na kuifuata slogan mujarab ya HAPA KAZI TUU,inayoratibiwa na Dr Magufuli kupitia chama cha mapinduzi....

Mh diwani huyo aliyejiuzulu kwa maslahi ya taifa hili, ndg Mussa Ndomba, amekabidhiwa kadi yake na viongozi wa CCM mkoa wa Ruvuma.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top