Loading...
Home » Unlabelled » BREAKING NEWS ... Hii hapa ratiba kamili ya mazishi ya Spika mstaafu Samweli Sitta
BREAKING NEWS ... Hii hapa ratiba kamili ya mazishi ya Spika mstaafu Samweli Sitta
Taarifa.
Mwili wa marehemu Samuel Sitta utaingia toka Ujerumani alhamisi jioni na utahifadhiwa nyumbani Masaki na Ijumaa saa 3 asubuhi tutaaga pale karimjee kwa ibada itakayoongozwa na Askofu Malasusa na Mch Mwaipole wa kkkt kinondoni na saa sita kamili utelekea Dodoma kwa Ndege na saa 8 wabunge wataaga na saa kumi jioni utaelekea Tabora na jumamosi mchana mazishi yatafanyika Urambo.
1 comments:
KWA NINI WABUNGE WASIJE KAREMJEEE HALL KUMUAGA MBONA ROOT NDEFU MZIMA ANATAKIWA AMFUATE ALIYEKUFA SIO KINYUME CHAKE
ReplyPost a Comment