Loading...
Lema, mkewe wakamatwa na Polisi
ARUSHA: Mke wa Mbunge wa Arusha amefikishwa mahakamani leo kwa tuhuma za kumtusi Mkuu wa Mkoa kwa kumtumia ujumbe wa simu wenye neno 'shoga'.
- Mke wa Mbunge huyo amekana kumtusi Mkuu huyo wa Mkoa, amedai neno 'shoga' sio tusi bali ni neno ambalo hulitumia kuwaita marafiki zake.
Polisi Arusha wamemkamata na kumuhoji mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kwa lugha za kichochezi dhidi ya Rais Magufuli
Post a Comment