Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Maalim Seif asalimu amri ... Aomba kukutana na Prof. Lipumba

Dar es Salaam. Katibu Mkuu CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema yupo tayari kukaa kwenye meza ya mahojiano na Mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na ofisi ya msajili, Profesa Ibrahim Lipumba.

Maalim amesema hayo leo (Jumapili) kwenye mkutano wake na waandishi wa habari jijini hapa.

"Nipo tayari kwa mahojiano na bwana yule (Profesa Lipumba) kwanini nikatae. Mimi sina ugomvi naye,"amesema Maalim baada ya kuulizwa kama atakuwa tayari kufanya mahojiano na Profesa Lipumba kwenye vyombo vya habari.

Maalim amedai kuwa ugomvi upo kati ya Profesa Lipumba, wafuasi wake na CUF.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top