Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Wasira king'ang'aniziMwanasiasa Mkongwe, Stephen Wassira aliyeshindwa katika kesi yake ya Uchaguzi dhidi ya Mbunge Ester Bulaya(CHADEMA) amesema kuwa hajastaafu siasa na mwaka 2020 atagombea tena.

- Aidha katika maelezo  yake amesema kuwa ameshtushwa sana na hukumu iliyotolewa na Mahakama kwa kuwa anaamini alistahili kushinda.

Chanzo: JF
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top