Ni JOHN BUKUKU mpiga picha wa magazeti ya The Guardian.Alikuwa ametoka kazini jana usiku, akagongwa na gari maeneo ya Mwenge na kuvunjika miguu yote miwili na mkono mmoja.Alikimbizwa MOI, ndiko alikoagia dunia akiwa anapatiwa matibabu
on Friday, December 23, 2016
Post a Comment