Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Kilimani Yetu yaonyesha njia

Kikundi cha kilimani yetu kilifanya safari ya kwenda kuhamasisha elimu ktk shule ya msingi kilimani wilaya ya Rufiji.

 Picha ya pamoja kati ya walimu Wanakikundi na wanafunzi waliofanya vizuri. Wametoa zawadi mbalimbali kwa walimu na wanafunzi
 Kiongozi wa group hilo akiwa na moja ya wanafunzi walifanya vizuri katika mitihani yao yakufunga mwaka
 Wanakikundi wakiwa ktk kibao cha shule hiyo
Selfie ya wanakikundi na walimu wa shule ya msingi kilimani.
Hii ndio Team ya watu 7 ya Kilimani yetu group iliyotembelea shuleni hapo...
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top