Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MCHAKA MCHAKA CCM .... Kinana afanya kikao kizito na watendaji wa mikoa

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa mikoa, alipokutana nao katika kikao maalum kilichofanyika jana, katika ukumbi wa Sekretarieti kwenye Ofisi Ndogo a Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.  Kushoto ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Zakia Meghji, na kulia ni  Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo na Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi.
 Watendaji wakiwa ukumbini
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa mikoa, alipokutana nao katika kikao maalum kilichofanyika jana, katika ukumbi wa Sekretarieti kwenye Ofisi Ndogo a Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.  Wengine walioko meza kuu, kutoka kushoto ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Mohamed Seif Khatibu, Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo na Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi.

Chanzo: CCMChama
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top