Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mwanamuziki Darasa apata ajali mbaya

Mwanamuziki Darassa ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa Muzikijana alipata ajali akiwa na Mtayarishaji wa video Hanscana walipokuwa njiani wakirejea Dar es Salaam kutoka Kahama.

Ajali hiyo inaelezwa kuwa ilitokea eneo la Ntobo barabara ya kuelekea mgodi wa Bullyanhulu, Wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga.

Taarifa kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa hakuna aliefariki dunia
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top