Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Ronaldo ambwaga tena Messi

 Cristiano Ronaldoalipata kura zaidi ya mara mbili ya kura kura alizopata Lionel Messi aliyemaliza nafasi ya pili, Ronaldo ameshinda tuzo ya France Football Ballon d’Or 2016.

Tuzo hiyo ni ya nne kwa Ronaldo huku wadau wengi wa soka wakisema ni mwaka ambao Ronaldo alistahili zaidi kutwaa tuzo ya Ballon d’Or.

Star huyo wa Ureno alishinda taji la Champions League na ubingwa wa mataifa ya Ulaya ‘European Championship’ uku akiweka rekodi kwa kufunga mabao ya kutosha.

Ronaldo alipata jumla ya kura 745, mara mbili zaidi ya kura za Messi 316. Nafasi ya tatu imekamatiwa na Antoinne Griezmann aliyepata kura 198.

Nyota wa Barcelona Andres Iniesta hajapata hata kura moja katika tuzo za mwaka huu.
Orodha ya wachezaji na kura walizopata

1.Cristiano Ronaldo (Real Madrid) 745 votes
2. Lionel Messi (FC Barcelona) 316
3. Antoine Griezmann (Atlético Madrid) 198
4. Luis Suarez (FC Barcelona) 91
5. Neymar (FC Barcelona) 68
6. Gareth Bale (Real Madrid) 60
7. Riyad Mahrez (Leicester) 20
8. Jamie Vardy (Leicester) 11
9/10. Gianluigi Buffon (Juventus) and Pepe (Real Madrid) 8
11. Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund) 7
12. Rui Patricio (Sporting CP) 6
13. Zlatan Ibrahimovic (Manchester United) 5
14/15. Paul Pogba (Manchester United) and Arturo Vidal (Bayern Munich) 4
16. Robert Lewandowski (Bayern Munich) 3
17. Toni Kroos (Real Madrid), Luka Modric (Real Madrid) and Dimitri Payet (West Ham) 1

Wachezaji ambao hawakupata kura: Agüero, De Bruyne, Dybala, Godin, Higuain, Iniesta, Koke, Lloris, Müller, Neuer, Sergio Ramos.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top