Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Agizo la JPM laangukia Polisi

Dar es Salaam. Wizara ya Mambo ya Ndani imeanza kutekeleza agizo la Rais John Magufuli la kuwaondoa watumishi wasio askari kwenye Jeshi la Polisi.

Rais Magufuli alitoa agizo hilo, Julai 18 mwaka jana baada ya manaibu kamishna wa polisi 25 na makamishna wasaidizi waandamizi 35 kula kiapo cha uadilifu kwa viongozi wa umma.

Alisema uwapo wa watumishi hao raia ndani ya jeshi hilo kunachangia lichafuliwe na ni wakati mwafaka wa kuondolewa na kupangiwa kazi nyingine na utumishi.

Katika hafla hiyo, Rais Magufuli alimwagiza pia Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP), Ernest Mangu kuorodhesha majina ya watumishi wote wasio raia ili warudishwe Utumishi.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top