Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Chadema hali mbaya ... Washindwa kulipia pango la nyumba ... Wapewa notisi ya kuhama



Mmiliki wa nyumba inayotumika kama ofisi ya CHADEMA Makao Makuu iliyoko mtaa wa Ufipa Kinondoni Manyanya ametoa notisi ya siku 14, kwa chama hicho kuhama katika nyumba yake kutokana na kukiukwa kwa mkataba wa malipo na upangishwaji.

Hatua hiyo inakuja baada ya mmiliki huyo kujaribu mara kadhaa kutuma barua kwenda kwa uongozi wa juu wa chama hicho bila ya mafanikio kwa kujibiwa kua chama hakina hela.

Chama hiko kimepewa hadi tarehe 9 kiwe kimeachia ofisi hiyo ili apewe mpangishaji mwingine.

Chanzo: JF
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top