Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Ajali iliyomuua Ally Yanga shabiki maarufu wa Yanga hii hapa ...TANZIA

Uongozi wa Yanaga SC umepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Ally Yanga, hakika MUNGU ni mwema , faraja ya MUNGU wetu ikawe kwa familia katika kipindi chote cha majonzi kwa kuondokewa na mpendwa wao, Pia nasi Yanga kifo chake kina acha pengo kubwa kwa nafasi yake ambayo ilipelekea kujipatia umaarufu mkubwa na alikuwa balozi mzuri kama mwanachama na shabiki mkubwa  wa timu yetu, Bwana alitoa, Bwana ametwaa.

Imetolewa na Idara ya Habarai na mawasiliano.
Young Africans Sports Club.
20-6-2017.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top