Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Madam Florah avunja ukimya

Ikiwa leo ni mwezi mmoja na siku kadhaa toka msanii wa Injili Madam Flora kufunga ndoa kwa mara ya pili na mume wake Daudi Kusekwa baada ya kuachana na aliyekuwa mume wake Emmanuel Mbasha, Fora amefunguka na kuwataka watu kuwa na maamuzi binafsi.

Msanii huyo amewataka watu kuwa na maamuzi binafsi kama wanataka kufikia ndoto zao na kudai kuwa unaweza ukawa unamshirikisha mtu lakini mtu huyo asiwe na nia njema na wewe hivyo anaweza kukushauri ndivyo sivyo.

"Jifunze kuwa na maamuzi yako binafsi, sio kila jambo lazima ushirikishe watu ndipo ulifanyie maamwuzi kwani si kila unayemshirikisha anakuwazia mema. Pokea ushauri vizuri kabisa lakini jifunze kuwa na maamuzi binafsi ili kutimiza ndoto yako" alisema Madam Flora
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top