Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Serikali yahaidi kutunza msitu wa Butiama

Butiama. Ofisi ya Waziri Mkuu, imesema itaanza kuusimamia na kuutunza msitu wa baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, uliopo Butiama, Mara kama sehemu ya kumuenzi na kuendelea kutunza mazingira.

 Hayo yamesemwa leo na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan katika kongamano la mazingira lililofanywa wilayani humo kama sehemu ya maadhimisho ya Siku ya mazingira duniani, yaliyofanyika kitaifa, wilayani Butiama.

“Sisi tutauangalia msitu huu, lakini tunaomba ushirikiano wa wakazi wa Butiama, tukiwaomba wiki hii mfanye kitu hiki, mtusaidie na tushirikiane,” amesema Makamu wa Rais
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top