Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Serikali imekamata Mali za watuhumiwa wa Escrow


Jamhuri imeziweka kizuizini mali za watuhumiwa wawili wa Kashfa ya Tegeta Escrow Rugemalira na Boss wa IPTL Harbinder Singh Seth

Serikali hatua nyengine iliyowachukulia watuhumiwa hao ni kufunga akaunti zao za benki.

Hatua hiyoimekuja baada ya Serikali kuwaburuza kortini watuhumiwa hao  kwa kosa la kuhujumu uchumi.

Watuhumiwa hao wanadaiwa kujiingiza Pesa kwa njia ya ulaghai na kuhujumu uchumi zaidi ya Shilingi Billioni 300
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top