Loading...
Mzee Mwinyi mgeni rasmi ibada ya Eid El fitry
Mgeni Rasmi kwenye Ibada ya Eid Fitry Mkoa wa Dar es Salaam anatarajiwa kuwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassani Mwinyi
hayo yameelezwa na Shekh Mkuu wa Mkoa Alhadi Mussa leo alipozungumza na waandishi wa habari Jijini hapa.
Shekh Mkuu wa Mkoa amesema kuwa Ibada hiyo itafanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja na kwamba waislamu wote wanataraji wanaalikwa kwenye Ibada hiyo.
Eid inatarajiwa kuanza kuwa siku ya Juma Tatu sawa na Tarehe 26 Juni ambapo yapo matrazamiao ya mwezi ambayo yanaweza kuwa siku ya Juma Mosi mwezi 29 na Eid kuwa siku ya Kuma Pili sawa na Tarehe 25.
Post a Comment