Loading...
Vigogo Chadema wajiunga CCM
Katibu Kata wa CHADEMA kata ya Ngenge na Ambaye ni Mwenyekiti wa kitongoji cha kamishenya na VIONGOZI wenzake warudisha Kadi za Chadema na kujiunga na CCM Wilaya ya Muleba
*Ndugu Leonard katula* Katibu chadema KATA ya Ngenge Jimbo la Muleba kaskazini wilaya ya Muleba na viongozi wenzake wamejiunga rasmi CCM na kurudisha kadi za chadema
Post a Comment