Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Alichokisema Rais Magufuli uzinduzi wa Maji SengeremaALICHOKISEMA RAIS MAGUFULI UZINDUZI WA MAJI SENGEREMA 04/07/2017

ZIARA YA JPM:  Rais John Magufuli leo amezindua mradi wa maji wenye thamani ya Sh23 bilioni katika kijiji cha Nyamazugo wilayani Sengerema.

"Sasa Hivi tunafanya ukaguzi wa nchi nzima wa Pembejeo Hewa,Kuna watu wameandikwa kuwa wanapewa pembejeo kumbe walishafariki zaidi ya miaka 20 iliyopita,Tunachunguza hilo"#RaisMagufuliSengerema

ZIARA YA JPM:  Rais John Magufuli leo amezindua mradi wa maji wenye thamani ya Sh23 bilioni katika kijiji cha Nyamazugo wilayani Sengerema.

NUKUU-"Tumeamua katika maeneo ya vijijini Wananchi waweze kupata maji kwa 85% na Mjini kwa 95%."#RaisMagufuliMwanza

NUKUU-"Mlinipa kura bure na mimi nitawafanyia kazi Bure,sitawaangusha"#RaisMagufuliMwanza

JPM: Mwalimu mkuu atakayeruhusu aliyepata mimba kurudi shule ataondoka.

NUKUU-"Nihangaike kukusanya kodi,nikusomeshe bure,ukapate mimba bure,alafu nikasomeshe wakina mama,mimi nimesema hakuna"#RaisMagufuliMwanza

"Tumekuwa na miradi ya hovyo,Tanesco inanunua umeme kwa senti 500 inauza kwa senti 250"#RaisMagufuliSengerema


Imeandaliwa na Shilatu E. J kwa msaada wa page ya Facebook ya Mwananchi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top