Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Polepole 'ambomoa' Mbowe jimboni kwake ... Asomba Madiwani, Wananchama wa Chadema




Katibu wa NEC Itikadi Na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole. Amewapokea Viongozi Na Madiwani Watatu Wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Hai Wote Wakitokana Na Chadema Kwenye Ukumbi Wa CCM Mkoani Kilimanjaro LEO Hii.
Madiwani Hao Na Kata Zao Ni:-
1. Gudluck A. Kimaro Diwani Wa Kata Ya Machame Magharibi Ambaye Pia Ni Makamu Mwenyekiti Wa Halmashauri Ya Hai.
2. Evarest Kimath Diwani Wa Kata Ya Mnadani.
3. Abdallah Kasim Chiwili Diwani Wa Kata Ya Weruweru
Ndugu Polepole Amesisitiza Wapo Madiwani, Wabunge Na Viongozi Wa Kitaifa Kutoka Vyama Vya Upinzani Ambao Wameomba Kurudi CCM. Amewatahadharisha Viongozi Wa Upinzani Watakaoendelea Kubeza Wanachama Na Viongozi Wenzao Waliamua Kujiunga Na CCM Ili Kuunga Mkono Kasi Hii Ya CCM_Mpya Na Tanzania_Mpya Inayoongozwa Na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli Watajikuta Wamebaki Wenyewe Katika Vyama Vyao.
MADIWANI HAO WAKO PICHANI NA NDG POLEPOLE 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top