Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Spika wa Bunge naye amkana Maalim Seif

Ofisi ya Bunge Leo  imeeleza kuwa Spika Job Ndugai amepokea barua kutoka kwa Maalif Seif Sharif Hamad yenye maelezo ya kuwafuta uanachama wabunge wawiliMagdalena Hamis Sakaya na Maftaha Abdallah Nachuma akidai wamekosa sifa ya kuendelea na Ubunge.

Taarifa ya ofisi ya Bunge  imeeleza kuwa ofisi ya Spika inayo barua ya Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha CUF Prof. Ibrahim Lipumba yenye kumbukunbu nambaCUF/AK/DSM/MKT/05/2017 ya March 22, 2017 ikiliarifu Bunge kuwa Maalim Seif ameshindwa kutekeleza majukumu yake kama Katibu Mkuu hivyo kwa mujibu wa Katiba ya CUF, majukumu ya Katibu Mkuu yatatekelezwa kuanzia tarehe hiyo na Magdalena Sakaya.

==>Soma barua nzima hapo chini 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top