MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU AWAFUNDA WANAZUONI !
.
Mzee Kingunge akitoa ufafanuzi juu ya masuala muhimu kwa wanafunzi wa Mkoa wa Vyuo Vikuu |
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru leo
ametoa darasa muhimu kwa wasomi wa vyuo vikuu,na kuwasisitiza waitumie elimu yao
vizuri.Amewaambia kwake yeye msomi ni mtu anayetumia elimu yake vizuri kwa
manufaa ya wote. Mzee Kingunge pia alitoa darasa juu ya Katiba na suala zima la
Muungano wa Tanzania na umuhimu wake. Akitumia uzoefu wake katika masuala mbali
mbali ya siasa na kusisitiza wanafunzi wa chuo kikuu watumie elimu yao vizuri
kwa manufaa ya Taifa letu.
Post a Comment