Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...


SUPER STAR WA NIGERIA OMOTOLA JALADE ALA WIKIENDI NA WATOTO YATIMA LEO


Omotola Jalade akiwasiloi kituoni hapo leo


Omotola alionja ukarimu wa Watanzania





DA KHADIJA MWANAMBOKA MWENYEKITI WA TMH ALIKUWEPO KUMKARIBISHA


 
Mchezaji wa Filamu kutoka nchini Naigeria Omotola Jalade katikati akiwa katika picha ya pamoja na mwigizaji Wema Sepetu kushoto na Khadija Mwanamboka pamoja na watoto yatima wa kituo cha Tanzania Mitindo House cha jijini Dar es salaam Omotola amekuja nchini maalum kwa ajili ya uzinduzi wa filamu ya Wema Sepetu Super Star ambayo imezinduliwa jana kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro jijini Dar es salaam PICHA KWA HISANI YA 8020FASHION


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top