Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BLACK RYHNO AFUNGA NDOA YA KIFAHARI

.

 

.
.



Beatrice na Black Ryno walikutana miaka sita iliyopita chuoni Mzumbe Morogoro walisoma darasa moja na baada ya hapo Black alituma maombi baada ya siku tatu lakini alijibiwa baada ya miezi.
 Huyu ndio Shem letu la Ukweee. Licheck tabasamu la mtoto na rangi yake adimu. Utadhani kashushwa
.
.
.

Hili ndio gari lililowabeba maharusi.

Kanisa katoliki la St. Joseph Dar es salaam ndipo ndoa ilipofungwa.
.
.
 Maharusi wakiingia Kanisani
.

.
.Black Rhyno na Mkewe wakiiombea ndoa yao ijae neema tele
.

.
.Black Rhyno akimvisha pete Maiwaifu wake
.
 Naye Bi Beatrice akimvisha pete my husband wake
.

.Maharusi wakifurahia kwa pamoja baada ya kuwa Mume na Mke rasmi.
.
.
MaMaharusi wakiwa na nyuso za furaha. Kweli kuoana ni raha tupu
.

Sherehe ilimaliziwa hapa ndani ya Quality Centre ambapo kwa ujumla harusi hii imegharimu kati ya milioni 18 mpaka 20.
Sherehe ilijaza watu nyomi ndani ya Quality Centre.




Kila la Kheri Black Ryhno na safari mpya ya kimaisha uliyothubutu kuianza.

Picha: kwa hisani ya Millard Ayo na Dj Choka
.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top