Aliyekuwa mwewnyekiti wa Chadema bw Nuru Maeda
akirudisha kadi ya chadema na kuchukua ya CCM MBele ya katibu wa CCM
wilaya ya Meru bw Langaeli Akyoo
akirudisha kadi ya chadema na kuchukua ya CCM MBele ya katibu wa CCM
wilaya ya Meru bw Langaeli Akyoo
Wakati chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kikiwa kinaendelea
na Oparesheni ya Vua Gamba vaa Gwanda ikiwa inaendelea chama cha
mapinduzi (CCM)kimefanikiwa kuvuna wanachama wapya 150 kutoka Chadema
ndani ya Eneo la Magadirisho Wilyani Meru Mkoani hapa akiwemo
Mwenyekiti wa Tawi la Magadirisho, Bw Nuru Maeda.
Hayo yamebainishwa na Katibu wa CCM wilaya ya Meru bw Langaeli Akyoo
wakati wa kuwapokea wanachama wapya akiwemo mwenyekiti huyo sanjari na
kufungua ofisi mpya ya tawi hilo mapema jana.
Aidha bw Akyoo alisema kuwa wamefanikiwa kupata wanachama hao wapya
150 kwa kipindi cha wiki mbili ambapo wanachama hao hapo awali
walikuwa ndani ya chama cha Chadema na hivyo kurudi katika chama
Tawala
Alifafanua kuwa mbali na kuweza kuvuna wanachama wapya 150 kutoka
Chadema pia wamedhamiria kufanya mabadiliko mbalimbali ambapo
mabadiliko hayo yataweza kuchochea kwa kiwango kikubwa Mabadiliko hata
ndani ya Mashina,Kata,na hatimaye kwa Wilaya nzima.

“hawa wanachama 150 ni wapya kabisa na wanatoka hapa hapa Magadirisho
na tunachofurai ni kuona kuwa watu wanatiumia vema demokrasia yao
wenyewe na pia zoezi hili halitakuwa lakuisha kwa mfululizo
tumejipanga kuhakikisha kuwa tunaendelea kuvuna wanachama wengi zaidi
nah ii ni dalili kuwa Jimbo bado lipo ndani yetu kwani kwa sasa ni
sawa na limekopeshwa tu ila bado ni mali ya CCM”aliongeza Bw Akyoo
Pia alisema kuwa ingawaje wamefanikiwa kuvuna wanachama 150 pamoja na
mwenyekiti wa Chadema bado wana mipango na mikakati mbalimbali ya
kuweza kusaidia jamii ya watu wa eneo la Magadirisho hasa kwa Upande
wa kukuza na kuimarisha zaidi uchumi wa maisha yao
Alisema kuwa Chama hicho kwa Wilaya ya Meru kimejidhatiti kuimarisha
chama cha kuweka na kukopa (SACCOS) ya Magadirisho ambapo kupitia
chama hicho wananchi wataweza kuimarisha shuguli zote za kiuchumi
ambapo wengine wanakosa dhamana kama hiyo hali ambayo inachangia sana
umaskini.
Awali aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema, Bw Nuru Maeda akikabidhi kadi
hiyo ya Chadema na kupokea ya CCM alisema kuwa kilichomfanya akimbie
chama hicho ni pamoja na kukosekana kwa uzalendo ambao unatangazwa
kila siku hali ambayo inasababisha madhara kwa wanachama wake
Alifafanua kuwa demokmrasia ndiyo iliyomfanya akimbie chama hicho na
kutokana na hali hiyo bado ana mpango wa kuendelea kuwachukua wafuasi
wake mbalimbali ambao alikuwa nao ndani ya Chadema kwa kuwa hata
Katiba ya Nchi nayo ina waruhusu kufanya hivyo.
“Nilikuwa ni Miongoni mwa Viongozi wa Chadema lakini leo narudi Ccm
ili niweze kuboresha zaidi chama changu hapa kijijini na pia nawasihi
sana wananchi wenzangu hakikisheni kuwa kamwe hamuwui kwenye utawala
wa vita ambao uanchangia kupata matatizo makubwa sana”aliongeza Bw
Maeda.
Picha, Habari na Fullshangwe- Arusha
Post a Comment