Mgambo
wa Jiji kamkamata jamaa anajisaidia haja ndogo katikati ya Jiji. Sikia maongezi
yao Mwanawhani.
Mgambo: Faini elfu tano kwa kujisaidia mahali palipokatazwa, tena uitoe hapa hapa.
Jamaa akaona isiwe taabu akatoa elfu kumi. Mgambo akamwambia: Kojoa tena mara ya pili ili hela iishe kabisa, mimi chenji sina!

Post a Comment