Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya
pamoja na viongozi wa Umoja wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini
(TAHLISO) walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumatano Julai 4,
2012. Viongozi hawa walikuwa wakihudhuria kongamano la mabadiliko ya katiba
lililokuwa linafanyika katika ukumbi wa Karimjee
Loading...
Home » Unlabelled » Rais Kikwete yupo bega kwa bega na Viongozi wa Jumuiya za Elimu ya juu (TAHLISO)
Post a Comment