Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MZEE MWINYI ANAPOJALI KILIMO KWANZA KWA KUKABIDHI MA-TREKTA KWA WAKULIMA WA KWADELO, WILAYA YA KONDOA

Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassani Mwinyi akimkabidhi funguo za trekta, Mwenyekiti wa Kijiji cha Makilinya, Siraji Abdallah Mahingu, wakati wa Mwinyi alipokabidhi trekta tatu kwa wakulima wa Kata ya Kwadelo, Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, leo, nyumbani kwake, Msasani, Dar es Salaam. Kushoto kwa Mzee Mwinyi ni Diwani wa Kata ya Kwadelo, Omari Kariati aliyefanikisha upatikanaji wa trekta hizo.
Rais mstaafu, Ali Hassani Mwinyi akiijaribu trekta wakati wa makabidhiano hayo. Kushoto ni Diwani Kariati
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top