Rais wa chama cha walimu Tanzania (CWT)Gratian Mukoba (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo makao makuu ya chama cha walimu Tanzania (CWT)jijini Dar es salaam juu ya Baraza la (CWT) ambalo limetoa notisi ya saa 48 kwa serikali kuanzia jana tarehe 27 Julai,2012 saa 8.00 mchana baada ya saa hizo walimu wataanza mgomo rasmi kuanzia siku ya jumatatu tarehe 30 Julai,2012.hiyo imepeleka baada ya kura zote kupigwa .asilimia 95.7 ya wanachama na wanachama wote kuunga mkono mgomo ni walimu wanaofundisha katika shule za awali,msingi,sekondari,maafisa walioko kwenye ukaguzi wa shule na wanafunzi wa vyuo vya ualimu na maendeleo ya jamii, kulia ni makamu wa Rais (CWT) Honoratha Chitanda na kushoto Mweka hazina wa
chama cha walimu Tanzania (CWT)Bw. Mohamed Utaly
chama cha walimu Tanzania (CWT)Bw. Mohamed Utaly
Pia Gratian Mukoba amewataka walimu kushiriki mgomo huo halali ambao umeitishwa na chama kwa mujibu wa sheria nakusema mgomo huo hauhusiani na zoezi la sensa
Post a Comment