Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HUYU NDIYE MAMA SALMA KIKWETE ASIYEACHA ASILI YAKE

         











Hizi hapa ni picha sita tofauti tofauti zinazomwonyesha Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete akiwa kwenye matukio mbalimbali akiwa amevalia mavazi ya vitenge ambayo ndio mavazi asilia ya Mwafrika. Hakika, anapendeza sana na mavazi.

Mama Salma Kikwete awe chachu kubwa hata kwa akina Mama hususani viongozi Wanawake kuiga mfano wa uvaaji mavazi yaliyo na uasili wa Afrika. Kama Mama Salma ambaye ni mke wa Rais anavaa hivi, ewe Mwanamam mwingine unashindwaji kumuiga.

Tuthamini asili yetu!!
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top